Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako akionyesha kitabu chenye hundi ya zaidi ya shilingi milioni 300 zilizotolewa na Serikali ya China kwa ajili ya kuboresha mafunzo katika Chuo cha VETA cha Wilayani Chato, mkoa wa Geita kilichozinduliwa Januari 6, 2020 na Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi.