Alhamisi, 18 Julai 2019 11:31

WAZIRI MKUU AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA MTENDAJI MKUU WA TCU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (MB) akipata maelezo ya kazi zinazotekelezwa na Tume na Vyuo Vikuu nchini (TCU) kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Tume hiyo Profesa Charles Kihampa. Taasisi hiyo ndio mratibu wa maoesho ya Taasisi ya Elimu ya Juu yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Read 886 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: 
  •               Mtaa wa Afya - Mtumba
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…