Ijumaa, 05 Julai 2019 00:33

NAIBU WAZIRI AKIPATA MAELEZO YA VITABU KATIKA BANDA LA TET KUTOKA JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akipata maelezo ya matumizi ya vitabu kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania Dkt. Aneth Komba wakati alipotembelea banda la TET katika maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Read 1147 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: 
  •               Mtaa wa Afya - Mtumba
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…