Jumanne, 09 Oktoba 2018 08:14

NAIBU WAZIRI AKIZUNGUMZA NA WANAFUNZI KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA NANGWA

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akiongea na wanafunzi katika shule ya Sekondari ya Wasichana Nangwa iliyoko katika Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara. Amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii, kuwa waadilifu na wenye uzalendo katika nchi yao ili kuepuka kujiingiza katika vitendo viovu.

Read 80 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…