Jumatatu, 13 Agosti 2018 09:44

ORODHA YA WATANZANIA WALIONUFAIKA NA SKOLASHIPU ZA SERIKALI YA CHINA KUPITIA URATIBU WA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA MWAKA 2018/2019

   

AHADIEL ELIASKIA MJEMA

AHUNGU ABELI
ALFRED FRANCIS KYANDO
ALI MOHAMED RASHID
ALI RASHID HASSAN
ALLY ZARIHA NASSIB
AMBELE RAITON MALEMA
CHACHA JAMES SIMON
CHUWA MARIA GABRIEL
GAMBADU GIDION DAUD
GILLIARD EZEKIA
HALINGA MATHIAS SEBASTIAN
HAMADI NABAHANI
HAMDAN MARYAM HAMOUD
IDDY RAMADHANI
ILLONGA ZAINABU ABDALLAH
JAFFAR SULEIMAN SIMAI
JAMES ARMACHIUS
JANDWA NOREEN MAGESA
JOSEPH PAUL NKOMBE
JUMA MARYAM
JUMBE JUMBE OMARI
KAJUGUSI JULIETH
KANANI GEORGE
KARAWA CUTHBERT JOHN
KHAMIS MOHAMED JUMA
KIBINDA NYAURA
KIBOMBO DEONATUS KAZAWADI
KILANGA MARCELINUS
KILUMILE MENARD
KIMARYO PATRICK
KING’ETI MARWA EMMANUEL
KIOBYA TWAHIR ABASI
LELLO DIDAS
LEONIDAS LILIAN ASIMWE
MADASI JOSEPH
MAKANGE NELSON RICHARD
MALAMLA SALEHE
MASAWA SALMA MANENO
MBATA AZIGARI LAURENT
MBUGI JUMA MFAUME
MKINDU HASSAN
MKWIZU DOREEN
MSELEM ANDREW JULIUS
MSIGWA SAMWEL SYLVESTER
MSONGE EDGAR
MSUMBA DAVIS FRANK KAHEMA
MTALI FERUZI HASSAN
MTANGI MOHAMED MUSSA
MTONI MTAITA CHARLES
MTUNGUJA ALLEN GEORGE
MURO CHRISTINA
MUTAGWABA MUJUNI
MWAIGAGA EVARIST PETRO
MWELINDE AVITUS TITUS
MZAVAOMARY
NACHIPYANGU MICHAEL
NJAU CHRISTOPHER ERNEST
NSEKELA RAPHAEL VICAR
NYALALI ALPHONCE
NZELEKELA SHABAN AMIRI
NZUMILE JAILOS MRISHO
OTHMAN HUSSEIN KHAMIS
PASCHAL COSTANTINE
PIUS EPIMACK MICHAEL
RUAMBO FRANCIS AIDAN
SAID KHADIJA KHAMIS
SAID RAMADHAN
SALUM SHANI SHAMSI
SARO ADONIRA
SHUMBI JOHN
SINGA AZIZ
SUFIAN MICHAEL HEMED
SULEIMAN ISMAIL MOHAMED
TALIB THUWAIBA
TARIMO EXAUD
TIBANYENDELA NASWIRU TWAHIRI


 

MAELEKEZO

1.Kila mnufaika wa Skolashipu ya China atatakiwa kufika Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Dar es Salaam akiwa na kitambulisho cha kazi au uraia kwa ajili ya kuchukua barua ya udahili na kujua tarehe ya kuripoti chuoni.

2.Kila mnufaika atatakiwa wakati wa kuomba VISA Ofisi ya Ubalozi wa China kuja na nakala halisi ya fomu ya kupima afya “original Foreign Physical Medical Examination Form” kwa kuwa ni moja ya hitaji katika kuomba VISA.

3.Wanufaika wote mnatakiwa kufika Ofisi za Ubalozi wa China ulioko Jijini Dar es Salaam Agosti 19, 2018 saa 8:00 mchana kwa ajili ya kupata maelekezo mahususi.

 

Imetolewa na:

Katibu Mkuu,

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,

13 /08/2018

Read 8825 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…