Jumatano, 04 Julai 2018 17:37

TUNAKATA UTEPE

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo wakikata utepe kuashiria makabidhiano ya Pikipiki zilizotolewa na Wizara ya Wizara ya Elimu kupitia Mradi wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (LANES) wanaoshuhudia tukio hilo ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Wiliam Ole Nasha, Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Pfor. James Mdoe na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda

Read 459 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…