Ijumaa, 08 Juni 2018 09:59

WAZIRI NDALICHAKO AKIKABIDHI ZAWADI KWA MWANAFUNZI BORA WA MASOMO YA SAYANSI, 2017

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akitoa cheti na fedha kwa mwanafunzi bora kitaifa katika masomo ya sayansi Sophia Juma aliyefanya vizuri katika matokeo ya kumaliza kidato cha sita mwaka 2017. Utoaji wa tuzo hizo umefanyika mkoani Dodoma katika kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Elimu.

Read 692 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…