WAZIRI NDALICHAKO ASISITIZA USIMAMIZI WA MTAALA SEKTA YA ELIMU MSINGI

Published on Friday 04 June, 2021 07:53:34

Mtendaji Mkuu wa ADEM Dkt. Siston Masanja Mgullah akizungumzia namna ADEM ilivyoendesha mafunzo ya Uthibiti Ubora wa Shule wa Ndani kwa Walimu Wakuu 8799 wa Shule za Msingi  Nchi nzima, mbele ya Mgeni Rasmi Mhe. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa. Joyce Ndalichako (hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya Uthibiti ubora wa Shule wa Ndani kwa Maafisa elimu Mikoa, Wilaya na Maafisa elimu Taaluma Mikoa yanayofanyika ADEM Bagamoyo kuanzia Tarehe 01 -04 Juni, 2021.

Read 247 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top