TANZANIA YAISHUKURU BENKI YA DUNIA KWA KUENDELEA KUFADHILI MIRADI YA ELIMU

Published on Monday 07 June, 2021 23:24:50

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa kikao cha pamoja kati ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ummy Mwalimu, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anaesimamia Ukanda wa Afrika Dkt. Taufila Nyamadzabo kilichofanyika katika ofisi za Wizara jijini Dodoma.

Read 109 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top