Ministry of Education and Vocational Training

ORODHA YA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MWAKA 2012 | Print |
ORODHA YA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA  MWAKA WA MASOMO  2012/2013

icon ORODHA YA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MWAKA 2012 (176.31 kB)

MAELEKEZO MUHIMU
Kwa kuzingatia kuwa Mafunzo ya Ualimu yalianza tangu tarehe 12/08/2012, wanafunzi waliochaguliwa Awamu ya Pili wanatakiwa kuripoti katika vyuo walivyopangiwa kuanzia tarehe 28/09/2012 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 14/10/2012. 

Wanafunzi wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
1. Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania Kidato cha NNE na SITA kulingana na kozi husika.
2. Ada kwa mwaka ni shilingi 200,000/= (Muhula wa kwanza shilingi 100,000/= na muhula wa pili shilingi 100,000/=).
3. Fedha za Sare ya Chuo na matumizi binafsi kiasi cha shilingi 250,000/=.

Aidha, kila Mkuu wa Chuo ahakikishe kuwa wanafunzi wanaosajiliwa chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na Si vinginevyo.

 

Search School

You are here  : Home