Jumatatu, 10 Aprili 2017 13:36

MAPOKEZI YA KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU, MAKAO MAKUU YA WIZARA - DODOMA.

DKT. AKWILAPO AKIPOKEA UA KAMA ISHARA YA KUKARIBISHWA KATIKA OFISI ZA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA ZILIZOPO MKOANI DODOMA DKT. AKWILAPO AKIPOKEA UA KAMA ISHARA YA KUKARIBISHWA KATIKA OFISI ZA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA ZILIZOPO MKOANI DODOMA

Katibu mkuu wa wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Dkt Leonard Akwikapo na Naibu katibu mkuu Dkt.Ave Maria Semakafu leo wamepokelewa na kukabidhiwa ofisi zao katika makao makuu ya ofisi za wizara hiyo zilizopo Katika chuo kikuu cha Dodoma - UDOM, mkoani Dodoma.

Akizungumza na wafanyakazi wa wizara hiyo Dkt.Akwilapo ameahidi kuendeleza ushirikiano, kufanya kazi kwa bidii mambo ambayo yalikuwepo wakati wa uongozi wa Katibu mkuu Maimuna Tarishi ambaye hivi sasa amehamishiwa katika ofisi ya waziri mkuu.

Read 219 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: P.O.Box 9121
  •               7 Magogoni Street
  •               11479 Dar es salaam
  • Tel:        +255 22 211 3139
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…