Jumatano, 15 Februari 2017 15:21

MKUTANO WA NCHI 13 ZA UKANDA WA A. MASHARIKI KUHUSU UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDFELEO ENDELEVU SDGs4

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amefungua mkutano wa nchi kumi na tatu za ukanda wa Afrika Mashariki kuhusu utekelezaji wa Malengo yaMaendeo Endelevu SDGs4 ya elimu 2030 ambao utafanyika kwa siku  mbili hapa nchini.
Waziri wa Elimu amebainisha malengo ya mkutano huo kuainisha changamoto zinazofanana na kubadilishana uzoefu wa namna wa kukabiliana na changamoto hizo, ambapo kwa pamoja wanahitaji  uwepo kwa elimu jumuishi yenye usawa bila kujali wanakotoka.
Mkutano huo unalenga kuwapa vijana ujuzi, maarifa, na mikakati thabiti ya elimu  ili vijana watumie maarifa hayo kwa maendeleo kwa mataifa husika.
Read 295 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: P.O.Box 9121
  •               7 Magogoni Street
  •               11479 Dar es salaam
  • Tel:        +255 22 211 3139
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…