Jumanne, 07 Februari 2017 21:14

WIZARA YAKABIDHI SHULE KONGWE KWA WAKALA WA MAJENGO ILI ZIKARABATIWE.

 Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia leo imekabidhi shule kongwe ya sekondari ya JANGWANI na Azania kwa wakala wa majengo nchini, TBA ili shule hizo  zifanyiwe ukarabati kutokana miundombinu yake kuwa chakavu.Akizungumza kabla ya kukabidhi shule hizo kwa wakala wa majengo Dkt.Akwilapo amesema ni ukweli kuwa shule kongwe nyingi miundombinu yake ni chakavu na teknolojia iliyotumika kujenga miundombinu hiyo imepitwa na wakati hivyo inahitaji ujenzi wa kisasa Zaidi. (Akikagua miundombinu ya shule ya sekondari Jangwani) 

Read 1166 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…