Jumatano, 04 Januari 2017 05:09

Rais John Magufuli azindua ujenzi wa shule ya sekondari ya wavulana Ihungo mkoani Kagera.

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na waziri wa Elimu sayansi na teknolojia profesa Joyce Ndalichako pamoja na balozi wa Uingereza nchini Tanzania Sarah cook baada ya kuzinduwa  na kuweka jiwe la msingi ujenzi unaoendelea katika shule ya Ihungo Sekondari ya wavulana iliyopo bukoba, mkoani kagera.

Read 990 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: P.O.Box 9121
  •               7 Magogoni Street
  •               11479 Dar es salaam
  • Tel:        +255 22 211 3139
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…