Ijumaa, 23 Desemba 2016 09:17

NAIBU WAZIRI WA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA MHANDISI STELLA MANYANYA AFANYA ZIARA MJINI UNGUJA

Naibu waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Manyanya akifanya mazungumzo na Waziri wa Elimu na Amali wa Zanzibar Riziki Pembe Juma hivi karibuni mjini Unguja ambapo wote kwa pamoja wamekubaliana kushirikiana ili kutatua changamoto mbalimbali katika sekta ya Elimu.

Read 1364 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: P.O.Box 9121
  •               7 Magogoni Street
  •               11479 Dar es salaam
  • Tel:        +255 22 211 3139
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…