Jumanne, 10 Aprili 2018 05:01

UJUMBE WA KAMPUNI YA UJENZI YA KICHINA YAVUTIWA NA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI IHUNGO

Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka Kampuni ya Ujenzi ya Kichina ilipotembelea shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo inayojengwa upya na Serikali mara baada ya kuharibiwa vibaya na tetemekeo la ardhi lililotokea Septemba 10, 2016. Kampuni hiyo ilitembelea shule hiyo kwa lengo la kujifunza na kuona aina ya ujenzi wa Miundombinu inayotekelezwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Read 916 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…