Jumatano, 28 Machi 2018 05:49

WIZARA YA ELIMU YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI, MAKADIRIO YA BAJETI KWA MWAKA 2018/19 KWA KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII.

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha Taarifa ya Utekelezaji kwa mwaka wa fedha 2017/18 na Makadirio ya Bajeti kwa mwaka 2018/19 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii.

Uwasilishaji wa taarifa hiyo umefanyika leo katika ofisi za Bunge zilizopo Mkoani Dodomaambapo wajumbe wa Kamati hiyo wamepata fursa ya kupitia na kujadili Fungu 46.

Read 103541 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…