Jumatano, 07 Machi 2018 03:29

UJENZI HUU WA MIUNDOMBINU UNARIDHISHA

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. William Ole Nasha akikagua ujenzi wa Miundombinu ya Shule ya Sekondari Mwanzoli, iliyojengwa na Wizara hiyo kupitia Progamu ya Lipa kulingana na Matokeo, EP4R ambapo mara baada ya ukaguzi huo Naibu Waziri amekiri kuridhishwa na ukarabati huo na kuzitaka shule nyingine kuuga mfano huo.

Read 1890 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…