Ijumaa, 05 Januari 2018 08:23

UKAGUZI WA SHULE YA SEKONDARI KIGOMA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigadia Jenerali Mstaafu Emanuel Magaga wakikagua ujenzi wa shule ya Sekondari Kigoma, ambazo ni miongoni mwa shule Kongwe na kuwa  ujenzi huo umekuwa ukisusua na tayari Mkuu wa mkoa amechukua hatua.Ujenzi huo unasimamiwa na Wakala wa Majengo nchini, TBA.

Read 1579 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…