Ijumaa, 05 Januari 2018 08:07

UKAGUZI WA SHULE YA MSINGI KIGOMA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akiwa na viongozi wa mkoa wa Kigoma wakikagua ujenzi wa shule  mpya ya msingi kumtundu ambayo imejengwa kwa nguvu za wananchi  ambapo Waziri alichangia mifuko ya saruji 50, mabati 60 na kiasi cha fedha Taslimu shilingi milioni Moja.

Read 1597 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…