Ijumaa, 15 Desemba 2017 20:43

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WALIMU

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Magufuli akifurahia jambo na viongozi wengine wa meza kuu wakati wa Mkutano wa Chama cha Walimu,(CWT) unaofanyika mkoani Dodoma, ambapo pia amefungua rasmi mkutano huo unaoambatana na uchaguzi wa kuchagua viongozi wapya watakaongoza chama hicho.

Read 2232 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…