Jumatano, 09 Agosti 2017 12:41

UTOAJI WA TUZO KWA YOUNG SCIENTIST

Naibu Katibu Mkuu Prof. Simon Msanjila akitoa tuzo kwa washindi wa ujumla wa maonesho ya sita ya Young Scientists Tanzania (YST). Washindi hao ni wanafunzi kutoka shule ya sekondari ya St Jude kutoka Arusha ambao walitengeneza mtambo wa kubaini kuwepo wa hitilafu ya umeme katika nyumba au kubaini wahalifu katika nyumba. 

Read 1241 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…