Jumatatu, 07 Agosti 2017 13:54

WAZIRI WA ELIMU AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN KWA MAZUNGUMZO.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amekutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Japan Nchini Tanzania Masaharu Yoshida ambapo kwa pamoja wamejadiliana kwa kina kuhusu uboreshaji wa Elimu msingi katika kuhakikisha mazingira ya kujifunzia na yale ya kujifunzia yanaboreka.

Katika Mazungumzo hayo, Profesa Ndalichako amemhakikishia balozi wa Japan Kuwa ni jukumu la serikali kusambaza vitabu kwa shule zote ambazo zimesajiliwa na tayari zina wanafunzi, na kuwa Balozi Yoshida amemhakikishia waziri kuwa nchi hiyo itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuboresha Elimu.

Read 1049 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…