Ijumaa, 14 Julai 2017 12:56

Zawadi kwa wanafunzi.

Naibu waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Manyanya akitoa zawadi kwa wanafunzi wa shule ya msingi Sinza Maalum alipofanya ziara katika shule hiyo kujionea mazingira ya kufundishia na kujifunzia. Watoto hao walimuomba Naibu waziri awapatie Juisi na biskuti.

Read 1834 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…