Ijumaa, 14 Julai 2017 12:44

Miundombinu ya michezo Shule ya msingi Sinza maalum

Naibu waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Manyanya akikagua  baadhi ya miundombinu ya michezo ambayo imeharibika katika shule ya msingi Sinza Maalum alipofanya ziara katika shule hiyo kujionea mazingira ya kufundishia na kujifunzia. Kutokana na kuharibika kwa miundombinu Naibu waziri ametoa fedha ambayo itasaidia kutengeneza michezo hiyo na pampu ya maji.

Read 1555 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…