Mhe. Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia amemwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Isdor Mpango katika Hafla ya Uzinduzi wa Majengo ya awali katika Shule ya Shirika la Masista wa Maria Boystown iliyopo