Serikali inaendelea na uhamasishaji wa usomaji vitabu katika ngazi mbalimbali za elimu.