Thursday, 14 March 2019 10:28

KARIBU TUWAPOKEE WAGENI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akisalimia na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Prof James Mdoe wakati alipowasili katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) kwa ajili ya kikao cha pamoja na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ilipotembelea cho hicho kukaga utekelezaji wa mradi wa upanuzi na ukarabati wa jengo la utawala la chuo hicho.

Read 176 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…