Tuesday, 12 March 2019 13:31

WAZIRI NDALICHAKO ATAKA WANAFUNZI KUTUMIA TEHAMA KATIKA MASUALA YANAYOLETA TIJA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mashindano ya kitaifa ya wasichana na Tehama yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma, Jijini Dodoma. Amewataka wanafunzi kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika masuala yanayowasaidia kitaaluma.

Read 211 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…