CHUO KIPYA CHA UFUNDI KUANZA KUJENGWA DODOMA?

Published on Saturday 29 May, 2021 06:57:11

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt Leonard Akwilapo na Meneja wa Kampuni ya CRJE East Afrika Ltd tawi la Tanzania Xu Cheng wakibadilishana  nyaraka za mkataba wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Dodoma  baada ya utiaji saini. Ujenzi huo utagharimu zaidi ya shilingi Bilioni 17 na Chuo hicho kikikamilika kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 5000.

Read 184 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top